Header Ads

NAHITAJI MWANAUME WA KUNIOA AWENA NA NIA YA DHATI YA MAPENZI YA KWELI


Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.

Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji masikhara wala kebehi, Acha email yako ama simu mwenyewe ntawasiliana nanyi....asiyehusika please naomba apite kimya kimya

N.B:kupima HIV ni muhimu sana.

By Irene Moshaeli

Maoni 2 :