VIDEO: ‘Wasanii tumechoka ahadi sasa Dr Mwakyembe tunataka mabadiliko’- Mwakifwamba
Baada ya taarifa ya IKULU iliyoeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kuvuliwa uwaziri, sasa leo March 24, 2017 Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba azungumza mambo yaliyofanywa na Nape Nnauye huku akimtaka Waziri Dr Mwakyembe alieteuliwa katika wizara hiyo kufanya mabadiliko. Akizungumza kwenye Ayo TV &
Post a Comment