TUNDU LISSU KIZIMBANI ASOMEWA MASHITAKA MATANO
Lissu amekana mashtaka yote na upande wa mashtaka umedai upelelezi umekamilika na wameomba wamsomee maelezo ya awali leo (Ijumaa).
Lissu ambaye anajiwakilisha yeye mwenyewe mahakamani hapo aliomba maelezo hayo ya awali yasomwe Jumatatu, ili aweze kuhudhuria uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unaotarajia kufanyika kesho.
Ameomba apewe dhamana kwa masharti nafuu.
Post a Comment