VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME/MKE /MCHUMBA MWENYE MAPENZI YA KWELI
Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida kwa pande zote mbili yaani kwa mwanamke na mwanaume kwani kuacha au kuachwa bila kufanya mapenzi ni bora kuliko kuwa muonjaji,
tabia ambayo huathiri kisaikolojia na ni hatari kwa afya
Post a Comment