Header Ads

BREAKING NEWS:RAIS MAGULI AFANYA UTEUZI MWINGINE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo March 25 2017 amemteua Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kabla ya Uteuzi huo Charles Edward Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA. Charles Edward Kichere anachukua nafasi ya Alphayo Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Kufuatia uteuzi huo, nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA itajazwa baadaye

Hakuna maoni