Header Ads

RADI YAUA NG'OMBE 5 NA MBUZI 4



Radi yaua Ng'ombe wa 5 na Mbuzi 4 katika kijiji cha Sanzawa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma.

Habari zinasema kuwa mvua kubwa ilinyesha na kusababisha ng'ombe hao na mbuzi kujikusanya chini ya mti ndipo Radi ikapiga na kusababisha ng'ombe wa 5 na Mbuzi 4 kufa hapo hapo.

Hata hivyo Radi hiyo Haikumdhuru mchungaji japokuwa na yeye pia alikuwepo chini ya mti huo.




Hakuna maoni