Nimekuwa nikiona picha mbali mbali za wadada wakiwa wanapiga huku wamebinua makalio huko Instagram mpaka nafika najiuliza siku hizi makalio ndio chat ? Pia naona Wadada mbali mbali wanapata umaarufu tu eti kwa sababu ya makalio ..kama dada yetu Agness masogange kila kukicha anasifiwa makalio ..Je siku hizi ni Deal kuliko Sura?
Post a Comment