WAZIRI MKAMBA AWATAKA WANANCHI KULINDA MAZALIA YA KASA WALIO HATARINI KUPOTEA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ameendelea na ziara yake katika mikoa ya Kilimanjaro, Tanga na Dodoma yenye lengo la kutambua changamoto mbalimbali za kimazingira na kuweka mikakati sahihi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Waziri Makamba alitembelea Mkoani Tanga kijiji cha Mbuyuni kuzungumza na wananchi na kusikiliza changamoto [
Post a Comment