NAHITAJI MWANAUME WA KUNIOA AWENA NA NIA YA DHATI YA MAPENZI YA KWELI
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.
Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji masikhara wala kebehi, Acha email yako ama simu mwenyewe ntawasiliana nanyi....asiyehusika please naomba apite kimya kimya
N.B:kupima HIV ni muhimu sana.
By Irene Moshaeli

Related Posts
- Next VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME/MKE /MCHUMBA MWENYE MAPENZI YA KWELI
- Previous Video:Kimenukaa..Mwanamke Aibuka na Kudai Amepewa Ujauzito na Gwajima Kisha Akatelekezwa,Adai Mtoto Aliyemzaa Anatabia Kama za Askofu Gwajima..!!!
Ukiweka vigezo.vadin
JibuFutaUkiweka vigezo.vadin
JibuFuta