Header Ads

ZITTO;UVAMIZI WA MAKONDA UNABAREKA ZA RAIS,AMWAGA USHAHIDI WAKE



"Nimefahamishwa kuwa waliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibali cha kuwatumia hutolewa na Rais au DG Usalama .


Kuna ulazima wa kuwapo Kwa uchunguzi Wa kibunge wa matumizi ya kikosi maalumu cha kumlinda Rais. Ni jambo baya na halivumiliki hata kidogo"

Hakuna maoni