RAIS MAGUFULI : MAKONDA CHAPA KAZI...SIFANYI KAZI KWA KUAMBIWA NA MTU
Rais John Pombe Magufuli amemtaka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuendelea na kazi na kwamba yeye kama rais hafanyi kazi kwa kuambiwa na mtu kwamba afanye nini
Amesema watanzania wanapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo ya msingi
"Makonda Chapa kazi,mimi huwa sionyeshwi njia ya kupita, hapa kazi"
Post a Comment