Header Ads

Polisi yawadaka watatu kwa kuwabeba wanafunzi 34 kwenye Noah




Kikosi cha usalama barabarani cha jeshi la polisi katika kanda maalum ya Dar es Salaam kinawashikilia watu 3 kwa kosa la kuwabeba wanafunzi 34 wenye umri kati ya miaka 6 hadi 8 katika gari moja aina ya Noah.
Gari hiyo ina namba za usajili T.949DDY huku wanafunzi hao wengine waliwekwa kwenye buti la gari hilo.

Hakuna maoni