Header Ads

News Alert!! WACHIMBAJI 15 WALIOFUNIKWA UDONGO GEITA WAOKOLEWA WAKIWA HAI...TAZAMA PICHA HAPA

   

 Habari kutoka Geita zinaeleza kuwa wachimbaji wa madini 15 waliokuwa wamefunikwa na udongo katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union wameokolewa na hivi sasa wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geit

 Wachimbaji hao wakipatiwa huduma baada kuokolewa

Watu hao akiwemo raia wa China mmoja walifukiwa na kifusi juzi usiku baada ya udongo kukatika na kuziba mlango waliokuwa wakitumia kuingia na kutoka na uokoaji unaendelea kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya uokoaji.


Wachimbaji hao wakiwa wamelala chini mara baada ya kuokolewa kutoka chini ya ardhi katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union mkoani Geita kufuatia kukwama tangu juzi kwa kifusi kuziba njia ya kutokea na kushindwa kutoka nje.
 Mchimbaji akitoka chini ya ardhi baada ya kuokolewa
 Uokoaji ukiendelea
 Raia wa China(aliyevaa nguo nyeupe) baada ya kutoka ardhini


Raia wa China baada ya kutolewa ardhini


Picha zote n

Hakuna maoni