News Alert!! WACHIMBAJI 15 WALIOFUNIKWA UDONGO GEITA WAOKOLEWA WAKIWA HAI...TAZAMA PICHA HAPA
Habari kutoka Geita zinaeleza kuwa wachimbaji wa madini 15 waliokuwa wamefunikwa na udongo katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union wameokolewa na hivi sasa wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita.
Picha zote na Joel Maduka-Malunde1 blog Geita
Picha zote na Joel Maduka-Malunde1 blog Geita
Wachimbaji hao wakipatiwa huduma baada kuokolewa
Watu hao akiwemo raia wa China mmoja walifukiwa na kifusi juzi usiku baada ya udongo kukatika na kuziba mlango waliokuwa wakitumia kuingia na kutoka na uokoaji unaendelea kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya uokoaji.
Wachimbaji hao wakiwa wamelala chini mara baada ya kuokolewa kutoka chini ya ardhi katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union mkoani Geita kufuatia kukwama tangu juzi kwa kifusi kuziba njia ya kutokea na kushindwa kutoka nje.
Picha zote
Post a Comment