Breaking News!! MWENYEKITI WA CCM MBEYA APIGWA RISASI
Mwenyekiti
was CCM wilaya ya Mbeya mjini ndugu Ephrahim Mwaitenda akifikishwa
hospitali ya Rufaa mkoa wa Mbeya asubuhi ya leo Jumatatu Januari 30,2017
Kulia ni kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya ndugu Lobe Zongo akimpokea
Mwaitenda katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya baada ya kudaiwa
kupigwa risasi. Chanzo Kalulunga blog
Post a Comment