Header Ads

VIDEO: Ni kama siku yako haijafika tu, tazama hawa walivyoponea chupuchupu kwenye ajali


Kuna ajali zinatokea alafu unaambiwa kapona mtu unajua tu Mungu kamuokoa, sasa wenzetu majuu huwa na camera kwenye magari yao zinazorekodi mienendo barabarani na wametuonyesha matukio ya kukoswakoswa ambayo yote unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini.
Tahadhari kwako maana ni video zinazotisha kidogo.

Karibu kila wakati

Hakuna maoni